Kuvamiwa kwa Tamasha la Nova Oktoba 07, 2023: Waathirika 42 Wafungua Kesi Dhidi ya Jeshi la Israel, Polisi na Usalama


Waathirika 42 wa shambulio katika tamasha la Nova karibu na Kibbutz, shambulio lililotokea tarehe 7 Oktoba wamefungua kesi ya madai dhidi ya Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF), polisi, na kitengo cha huduma ya usalama wa ndani ya Israel.

Kesi inahusu uzembe na kutofuata tahadhari za tishio la usalama lililowasilishwa. 

Baadhi ya waathirika tayari wametoa taarifa hadharani kwamba jeshi la Israel lilifyatua risasi bila udhibiti na kusababisha mauaji kwa watu wake. Uchunguzi wa polisi pia umethibitisha kwamba waathirika wengi wa tukio la tarehe 7 Oktoba walifariki kwa kupigwa na IDF (jeshi la Israeli).



English

42 victims of the attack at the Nova music festival near Kibbutz, an attack that occurred on October 7, have filed a lawsuit against the Israel Defense Forces (IDF), the police, and the internal security service of Israel.

The lawsuit alleges negligence and a failure to heed security threat warnings.

Some of the victims have already publicly stated that the Israeli army fired indiscriminately, causing casualties. A police investigation has also confirmed that many of the victims of the October 7 incident were killed by the IDF.

Post a Comment

0 Comments