Balozi Hamdi Mansour Akabidhiwa Ujumbe kwa Wapalestina Ulimwenguni




Ambassador of the State of Palestine to Tanzania, Honorable Hamdi Mansour Abuali, has delivered a message to all Palestinians worldwide and Muslims from Mtambani Mosque in Kinondoni, Dar es Salaam. The message, accompanied by a special prayer, aims to supplicate for the relief of the suffering of the Palestinian people against the actions of Israel.

Balozi wa Palestina Nchini Tanzania Mheshimiwa Hamdi Mansour Abuali amekabidhiwa Ujumbe kwa Wapalestina Wote Ulimwenguni na waislam kutoka katika msikiti wa  Mtambani uliopo Kinondoni jijini Dar es salaam. Ujumbehuo amepatiwa ukiambatana na dua maalumu ya kuiombea nchi ya Palestina kuondokana na mateso wanayoyapata dhidi ya Israeli.

Tazama matukio ya Picha

View the photo events.

Post a Comment

0 Comments