STUDENTS FROM VARIOUS COLLEGES PARTICIPATE IN UNITED NATIONS INTERNATIONAL DAY OF SOLIDARITY.

Students in a group photo with the Ambassador of Palestine in Tanzania, Honorable Hamdi Mansour Abuali

Students in a group photo with the Ambassador of Palestine in Tanzania, Honorable Hamdi Mansour Abuali

On the occasion of the United Nations International Day of Solidarity, celebrated on November 30 in Tanzania, various people, including university students, participated in a significant dialogue addressing the ongoing conflicts in Palestine.

During the discussion, the UN Resident Coordinator in Tanzania and Ambassador of the state of Palestine in Tanzania Hon. Hamdi Mansour Abuali, presented various arguments, including the historical background of the conflicts in Palestine. They also listened to questions and comments from students.

Ambassador Abuali urged the students to read and learn more to understand the root causes of conflicts, encouraging them to unite with Palestine and the world in condemning the violence perpetrated by Israel.

Furthermore, Ambassador Abuali called on media outlets in Tanzania and worldwide to adhere to ethical reporting standards, including considering perspectives from both sides. This is aimed at avoiding confusion resulting from biased reporting by various media outlets.

SWAHILI

Ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mshikamano, Maadhimisho yaliyofanyika tarehe 30 Novemba, wadau mbalimbali wakiwemo wanafunzi kutoka vyuo vikuu, wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania na Ubalozi wa Palestina nchini Tanzania, wamefanya mdahalo mkubwa kuhusu machafuko yanayoendelea nchini Palestina.

Katika mdahalo huo, Mwakilishi mkuu wa umoja wa mataifa pamoja na Balozi wa Palestina nchini Tanzania Bwana Hamdi Mansour Abuali waliendesha hoja mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutoa Historia ya chanzo cha machafuko nchini Palestina lakini pia kusikiliza maswali na Maoni kutoka kwa wanafunzi.

Balozi Abuali, amewasihi wanafunzi hao kusoma na kujua mambo mengi zaidi ili kufahamu chanzo cha Migogoro lakini pia kuungana na Palestina na Dunia kwa ujumla kukemea ukatili unaofanywa na Israeli dhidi ya wapalestina.

Aidha, Balozi Abuali amevitaka vyombo vya habari nchini na Duniani kufwata maadili ya kuhabarisha hii ikiwa ni pamoja na kusikiliza hoja za pande zote mbili ili kuepusha mikanganyiko itokanayo na vyombo vingi kutoa taarifa zinazoegemea upande mmoja

Post a Comment

0 Comments