Jeshi la Israeli Latuhumiwa Kuiba Fedha za Kigeni


Jeshi la uvamizi la Israeli linashutumiwa kuiba takribani shekeli milioni 10 ambazo ni zaidi ya shilingi Bilioni 06 za kitanzania wakati wa uvamizi wake kwenye maduka 5 ya kubadilishia fedha katika miji ya Ukingo wa Magharibi (West Bank) usiku wa jana.

Benki kuu nchini Palestina, imethibitisha ya kuwa taasisi za kibenki zilizovamiwa zipo chini ya usimamizi wao huku wakitaja kuwa Jeshi la Uvamizi la Israeli limedhamiria kudhoofisha uchumi kwa taasisi hizo za kubadilisha fedha na taasisi zote zinazojihusisha na masuala ya fedha.



English

The Israeli invasion army is accused of stealing approximately 10 million shekels, which is more than 6 billion Tanzanian shillings, during its raid on 5 currency exchange shops in the cities of the West Bank last night.

The Central Bank in Palestine has confirmed that the invaded banking institutions are under their supervision, stating that the Israeli Invasion Army is determined to undermine the economy of these currency exchange institutions and all financial institutions.

Post a Comment

0 Comments