BARUA KUTOKA KWA MATEKA WA KIYAHUDI KWA WANACHAMA WA HAMAS KABLA YA KUACHILIWA



Nashukuru kwa ubinadamu usio wa kawaida muliouonyesha kwa binti yangu Emilia. Mulikuwa kama wazazi kwake, mkimkaribisha chumbani mwenu kila alipotaka. Alikuwa na hisia kwamba nyote sio tu ni marafiki, bali ni wapendwa wa kweli na wenye moyo mzuri.

Asanteni, asanteni, asanteni... Asanteni kwa saa zote mlizotumia naye. Asanteni kwa kuwa na uvumilivu naye na kumstiri kwa vitafunwa na matunda.

Watoto hawapaswi kuwepo katika maeneo ya vita, lakini kwa sababu yenu na watu wengine wema tulioonana nao njiani, binti yangu alijiona kama malkia hapa Gaza.

Hakuwepo hata mtu mmoja ambaye alitutendea tofauti Na Upole, huduma, na upendo

Nitabaki kuwa mfungwa wa shukrani kwenu kwa sababu binti yangu haondoki hapa na madhara ya kisaikolojia. Nitakumbuka wema wenu licha ya hali ngumu mlizonazo na hasara kubwa mlizopata hapa Gaza.

Nawatakia nyote na familia zenu afya na upendo, asanteni sana.

 

Danielle and Emilia


ENGLISH

Letter from Israeli hostage to Hamas members before being released: “To the generals who have accompanied me for the last few weeks... it looks like we will part ways tomorrow, but I thank you from the bottom of my heart. I am grateful for the extraordinary humanity you showed to my daughter Emilia. You were like her parents, inviting her into your room whenever she wanted. She felt that you were all not just friends, but real, kind-hearted loved ones. Thank you, thank you, thank you... Thank you for the hours you spent with her. Thank you for being patient with her and spoiling her with sweets and fruits. Children should not be in war zones, but thanks to you and the other kind people we met along the way, my daughter saw herself as a queen in Gaza. We did not meet a single person who did not treat us with kindness, care and love. I will forever be a prisoner of gratitude towards you because my daughter did not leave here with any lasting psychological trauma. I will remember your kindness despite your difficult situation and the heavy losses you suffered in Gaza. I wish you all and your families health and love, thank you very much.” Danielle and Emilia

Post a Comment

0 Comments