UN Rights Office Says Israeli Attacks on Jabalia Could be War Crime



The United Nations High Commissioner for Human Rights has considered that the Israeli bombing of the Jabalia refugee camp in the Gaza Strip "may amount to war crimes."
The Commission stated in a post on the "x" platform on Wednesday, "Given the large number of civilian casualties and the scale of destruction following Israeli airstrikes on the Jabalia refugee camp, we have serious concerns that these disproportionate attacks may amount to war crimes."

News reported that, Heavy Israeli bombing has flattened large swathes of the Jabalia refugee camp in Gaza, leaving at least 400 dead or wounded. Survivors are searching through the rubble for their loved ones, while others stand in shock at the scale of destruction.
Officials at the Indonesian Hospital said they had seen at least 50 fatalities, with the health ministry putting the death toll at 100 so far.
A ministry spokesperson said an entire residential complex had been destroyed. “These buildings house hundreds of citizens. The occupation’s air force destroyed this district with six US-made bombs. It is the latest massacre caused by Israeli aggression on the Gaza Strip,” interior ministry spokesperson Iyad al-Bazum told reporters.

SWAHILI

Kamisheni kuu ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imesema mashambulizi ya Israeli katika kambi ya wakimbizi ya Jabalia katika Ukanda wa Gaza yanaweza kusadikiwa ya kuwa ni uhalifu wa kivita.
Kamisheni ilisema hayo katika chapisho lake  kwenye mtandao wa "x" siku ya Jumatano, "Kutokana na idadi kubwa ya watu kuathiriwa na shambulizi hilo la kinyama na kiwango kikubwa cha uharibifu uliofanyika kwenye kambi hiyo ya wakimbizi ya Jabalia, tuna wasiwasi mkubwa kuwa mashambulizi haya makubwa yanaweza kufikia na kushutumiwa kuwa ni ya uhalifu wa kivita."

Taarifa zimeripoti kwamba, Mashambulio mazito ya Israeli yameharibu sehemu kubwa ya kambi ya wakimbizi ya Jabalia huko Gaza, na kusababisha takriban watu 400 kufa au kujeruhiwa. Waathirika wanatafuta wapendwa wao katika vifusi, wakati wengine wanabaki wamegubikwa na mshangao kutokana na kiwango kikubwa cha uharibifu. 
Maafisa wa Hospitali ya Indonesia walisema wameona miili ya watu 50, na wizara ya afya ikisema idadi ya waliofariki imefikia 100 hadi sasa. Msemaji wa wizara alisema jengo zima la makazi limeharibiwa. 
"Majengo haya yanawahifadhi mamia ya raia. Jeshi la anga la ukaliaji liliharibu wilaya hii na mabomu sita yaliyotengenezwa Marekani" 
alisema msemaji wa wizara ya mambo ya ndani, Iyad al-Bazum, akizungumza na waandishi wa habari.

Post a Comment

0 Comments