The meeting between the Palestinian President and the U.S. Secretary of State did not reach a result

Urgent: The meeting between the Palestinian President and the U.S. Secretary of State did not reach a result, and a joint statement was not issued due to differences in positions.

President Mahmoud Abbas to Blinken: Military solutions will not bring security to Israel. There are no words to describe the genocide and destruction that our people in Gaza are enduring. We strongly reject the forced displacement of our people from Gaza, the West Bank, or Jerusalem. The Palestine Liberation Organization is the legitimate and sole representative of our people and has authority over all matters concerning them. Security and peace can be achieved by ending the occupation of the land of the State of Palestine with its capital in East Jerusalem.

We demand an end to the aggression against our people and a swift provision of humanitarian assistance.

There are no words to describe the genocide and destruction that our people in Gaza are enduring.

We strongly reject the forced displacement of our people from Gaza, the West Bank, or Jerusalem.

Military and security solutions will not bring security to Israel.

Security and peace can be achieved by ending the occupation of the land of the State of Palestine with its capital in East Jerusalem.

SWAHILI

Mkutano kati ya Rais wa Palestina na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani haukufikia matokeo, na taarifa ya pamoja haijatolewa kutokana na kutopatikana kwa muafaka.

Rais Mahmoud Abbas kwa Blinken: Suluhisho la kijeshi halitaleta usalama kwa Israel. Hakuna maneno ya kuelezea mauaji ya kimbari na uharibifu ambao watu wetu huko Gaza wanakabiliana nao. Tunapinga kwa nguvu kuhamishwa kwa nguvu watu wetu kutoka Gaza, West Bank, au Yerusalemu. Shirika la Ukombozi wa Palestina ndilo mwakilishi halali na pekee wa watu wetu na lina mamlaka juu ya maswala yote. Usalama na amani vinaweza kupatikana kwa kumaliza changamoto ya uporaji wa ardhi ya Nchi ya Palestina na mji wake mkuu wa Yerusalemu Mashariki.

Tunadai kusitishwa kwa uchokozi dhidi ya watu wetu na utoaji haraka wa msaada wa kibinadamu.

Hakuna maneno ya kuelezea mauaji ya kimbari na uharibifu ambao watu wetu huko Gaza wanakabiliana nao.

Tunapinga kwa nguvu kuhamishwa kwa nguvu watu wetu kutoka Gaza, West Bank na Yerusalemu.

*mSuluhisho za kijeshi na za usalama hazituletei usalama kutoka kwa wa Israel.*m

Usalama na amani vinaweza kupatikana kwa kumaliza uchokozi na unyang'anyi wa ardhi ya Nchi ya Palestina na mji wake mkuu ukiwa Yerusalemu Mashariki.

Post a Comment

0 Comments