The massacre of Al-Shifa Hospital in Gaza City.

Picha za kusikitisha, Mauaji ya Hospitali ya Al-Shifa mjini Gaza.
Haya ni mauaji mapya, uvamizi katika hospitali ya Al-Shifa huko Gaza ambapo watu walikuwa wakisindikiza ndugu zao waliojeruhiwa

Wavamizi wameshambulia msafara wa magari ya wagonjwa kwenye mlango wa Hospitali ya Al-Shifa usafiri uliokuwa ukiwasafirisha majeruhi kwenye mpaka wa Rafah, na kusababisha vifo na mamia ya watu wasio na hatia.

Painful viewing, The massacre of Al-Shifa Hospital in Gaza City.
This is the new massacre , occupation bombing Al shifa hospital in Gaza  were people were accompanying their enjured families

The occupation bombed an ambulance convoy at the entrance of Al-Shifa Hospital that was transporting injured to the Rafah crossing, resulting in the death and injury of dozens.

Post a Comment

0 Comments