Israeli Kills 79-year-old Man after Taking Photos Pretending to Offer Assistance


Vyombo vya habari na vyanzo mbalimbali vimesimulia tukio la kikatili kuhusu kifo cha Bashir Haji mzee wa miaka 79 kutoka eneo la Zaytoun huko Gaza. Inasemekana kuwa mzee huyo alikuwa akielekea maeneo ya kusini kwaajili ya kufwata amani, jeshi la Israel lilichukua fursa hiyo kuhadaa kumsaidia na kumpiga picha wakati wa kumpatia msaada na kisha kumpiga risasi baada ya kumaliza haja yao ya kuwa na picha na kuzisambaza kudanganya ni kwa namna gani wamekua wema kwa raia.

Media outlets and various sources have narrated a brutal incident regarding the death of 79-year-old Bashir Haji from the Zaytoun area in Gaza. It is alleged that the elderly man was heading south in pursuit of peace when the Israeli military took advantage, deceiving him by offering assistance, filming him, and then shooting him after fulfilling their agenda of creating misleading images portraying their supposed benevolence towards civilians.

Post a Comment

0 Comments