GAZA SINCE THE ATTACKS

Tangu mashambulizi yaanze mwezi Oktoba kwenye ukanda wa Gaza, wanahabari 51 wameuawa kutokana na mashambulizi ya wanajeshi wa Israel. Misikiti imevunjwa kabisa na inakadiriwa misikiti 156 imeharubiwa. Makanisa 3 yamevunjwa.
Kwa masikitiko makubwa zaidi ya watu 1165 wameuawa.

Since the attacks began in October in the Gaza Strip, 51 journalists have been killed due to Israeli military strikes. Mosques have been completely destroyed, with an estimated 156 mosques damaged. Three churches have also been demolished. Sadly, more than 1,165 people have lost their lives.

Since October 7th, 51 journalists have been killed in Gaza, due to Israeli aggression. 
#freepalestine #GazaGenocide 
#GazaIsHere 

Post a Comment

0 Comments