Shukrani kwa Mapokezi ya Heshima ya Mheshimiwa Balozi, Salam Abu Sharar

Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa Mheshimiwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mohammad Thabit Kombo, na kwa Ofisi ya Mkuu wa Itifaki katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kwa mapokezi ya uchangamfu waliyompatia Mhe. Balozi Salam Abu Sharar wakati wa kuwasilisha nakala za hati zake za utambulisho.


Tukio hili muhimu linaashiria ukurasa mpya katika kuimarisha urafiki wa muda mrefu na ushirikiano kati ya mataifa yetu mawili.

Tunatarajia kufanya kazi kwa karibu ili kuendeleza maslahi yetu ya pamoja, na kuimarisha zaidi uhusiano wa kidugu uliopo baina ya watu wetu.

.........

We extend our sincere appreciation to the Honorable Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, H.E. Mohammad Thabit Kombo, to the Department of East African Cooperation, and to the Office of the Chief of Protocol at the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation for the warm welcome extended to H.E. Ambassador Salam Abu Sharar upon the presentation of copies of his credentials.

This important occasion marks a new chapter in strengthening the longstanding friendship and cooperation between our two nations.

We look forward to working closely together to advance our shared interests and further deepen the bonds between our peoples.







Post a Comment

0 Comments