Daily Report on the Effects of the Israeli Aggression in Palestine

Taarifa kutoka katika ofisi ya Waziri Wizara ya Afya nchini Palestina, inaeleza matukio ya kila siku yanayosababishwa na uvamizi wa Israeli dhidi ya Palestina.
Taarifa hii ni kutoka tarehe 7 oktoba hadi tarehe 7 Disemba 2023. Matukio mengine katika taarifa hii yamefanyika jioni ya tarehe 06 mwezi Disemba mwaka huu.

Report from the office of the Minister of Health in Palestine details the daily events caused by the Israeli invasion against Palestine. This report covers the period from October 7th to December 7th, 2023. Some incidents in this report occurred on the evening of December 6th of this year.

Post a Comment

0 Comments