Father Anthony Hanania: If the occupation prevents Muslims from raising the call to prayer, I will raise it

The Palestinian monk, Father Anthony Hanania, confirmed that the occupation does not want independence or a history for the Christian Church, continuing: “They do not want a history for us, they do not want independence for us.”



He mentioned, in a previous interview with Al-Mayadeen TV, that journalist Sherine Abu Aqla was martyred as a result of the bullets of the occupation that attacked her funeral. To obscure her heroism and her attempt to convey the truth.

He continued: "The occupation forces tried to drop their coffin, but the Muslims lifted the coffin and defended it. If this were a sheikh, they would have defended him as they defended Shirin."

He continued his speech: “I also tell you that Father Manuel Muslim said repeatedly: Let them prevent the Muslim brothers from raising the call to prayer. I will raise the call to prayer.”

SWAHILI

Mtawa wa kipalastina, Padre Anthony Hanania, amethibitisha kwamba utawala wa kinguvu hauhitaji uhuru wala historia ya Kanisa la Kikristo, akisema: "Hawataki historia yetu, hawataki uhuru wetu."

Aliyazungumza hayo katika mahojiano na Al-Mayadeen TV kwamba mwandishi Sherine Abu Aqla aliuawa  kutokana na risasi za wadhalimu zilizoshambulia mazishi yake. Hii ilikuwa ni kujaribu kuficha ujasiri wake na jitihada zake za kufikisha ukweli.

Akaendelea kusema: "Vikosi vinavyotawala kijeshi vilijaribu kuangusha jeneza lao, lakini Waislamu waliinua jeneza na kulitetea. Kama angekuwa ni sheikh, wangemtetea kama walivyomtetea Shirin."

Akaendelea na hotuba yake: "Ninawaambia pia kwamba Padre Manuel Muslim alisema mara kwa mara: Waache wawazuie Waislamu kupaza sauti zao za adhana, mimi nitapaza sauti ya maombi

Post a Comment

0 Comments