Rais Abbas alaani vikali kuuawa kwa kiongozi wa Hamas, akilieleza kama 'kitendo cha uoga'


Rais wa Palestina Mahmoud Abbas amelaani vikali kuuawa kwa kiongozi wa Hamas na mkuu wa ofisi ya kisiasa, Ismail Haniyeh, akieleza kitendo hicho kuwa cha uoga na hatua hatari.

Rais amewataka Wapalestina kuungana, kuwa na subira, na kudumu kwa uthabiti mbele ya ukandamizaji wa Israel.

#FreePalestine #Palestinetanzania

Post a Comment

0 Comments