Maelfu Wajitokeza London Kuunga Mkono Amani Gaza: Siku ya Kimataifa ya Hatua Yashuhudiwa


📸 Maelfu ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina walijitokeza barabarani jijini London siku ya Jumamosi kushiriki katika "siku ya kimataifa ya hatua" kwa ajili ya Gaza.
Mkakati huu, ulioongozwa na muungano wa mashirika ya Uingereza, unalenga "kuongeza shinikizo la kimataifa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano na kuvunja ubaguzi wa Israel."
Watu mbalimbali kwenye miji 121 katika nchi 45 kote Asia, Afrika, Ulaya, Amerika Kusini na Amerika Kaskazini wanatajwa kushiriki kwenye maandamano hayo.
Ni maandamano ya saba nchini Uingereza yanayohamasisha mshikamano na Wapalestina, ambayo tangu mwaka jana yamevuta mamia ya maelfu ya watu barabarani jijini London wakiitaka serikali ya Uingereza kusaidia kusitisha mapigano Gaza.

📸 Thousands of pro-Palestinian protesters took to the streets of London on Saturday to participate in an "international day of action" for Gaza.
Led by a coalition of British organizations, this strategy aims to "increase international pressure for a permanent ceasefire and dismantle Israeli apartheid."
People in various cities, totaling 121 in 45 countries across Asia, Africa, Europe, Latin America, and North America, are reported to participate in these demonstrations.
These are the seventh protests in the UK advocating solidarity with Palestinians, drawing hundreds of thousands to London's streets since last year, urging the British government to support a ceasefire in Gaza.

Post a Comment

0 Comments