MAUAJI YAENDEPEA KUFANYIKA GAZA

Idadi ya vifo Gaza kutokana na mashambulizi ya Israel imeongezeka hadi kufikia takriban watu 21,110 waliouawa na 55,243 kujeruhiwa tangu Oktoba 7, kulingana na taarifa iliyotolewa na msemaji wa Wizara ya Afya ya Gaza, Ashraf al-Qudra. 

Aidha, taarifa hiyo inasema watu 195 waliuawa katika saa 24 zilizopita na 325 kujeruhiwa. Idadi kubwa ya waliouawa au kujeruhiwa ni wanawake na watoto.


English.
Gaza's death toll from Israeli attacks have risen to at least 21,110 killed and 55,243 injured since October 7th, according to a statement by Gaza Health Ministry spokesperson Ashraf al-Qudra.

Moreover, the statement said 195 people had been killed in the past 24 hours and 325 injured.

The majority of those killed or injured have been women and children.

Post a Comment

0 Comments