MY HEART IS IN GAZA': AMERICAN NURSE SHARES HEARTFELT TESTIMONY FROM GAZA

 


Emily Callahan, an American nurse shared her touching experiences Tuesday and emphasized her deep connection with the region and its people, which are under Israeli bombardment.

"My heart is in Gaza and will remain there... They sacrificed for our safety... They are heroes, and I will die happy if I possess what's in their hearts." She said

SWAHILI

Emily Callahan, muuguzi Mmarekani, amezungumza namna alivyoguswa na kusisitiza uhusiano wake mkubwa na eneo la Gaza pamoja na watu wake, ambao wanakabiliwa na mashambulizi na Israeli.

"Moyo wangu uko Gaza na utaendelea kuwa huko... Walijitolea kwa ajili ya usalama wetu... Wao ni mashujaa, na nitakufa nikiwa na furaha kama nitamiliki kile kilichomo mioyoni mwao," alisema.



Post a Comment

0 Comments