UJUMBE WA BAADHI YA WAFUNGWA WA ISRAEL KWA WAZIRI MKUU WAO


Wafungwa wa kike wa Israel wanaoshikiliwa na Al-Qassam - Hamas wametuma ujumbe kwa Netanyahu

Oktoba 30, 2023 Jerusalem.
Wafungwa wa kike wa Israel wanaoshikiliwa na Brigedi ya Al-Qassam katika Ukanda wa Gaza wametuma ujumbe kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na serikali yake.

Mmoja wa wafungwa wa kike alisema katika hotuba iliyorekodiwa na kuchapishwa na Al-Qassam, 

"Benjamin Netanyahu, habari, tumekuwa katika utumwa wa Hamas kwa siku 23 ... Jana kulikuwa na mkutano na waandishi wa habari kwa familia za wafungwa, na tunajua kwamba kulipaswa kuwa na usitishaji wa mapambano, na ulipaswa kutuachia, ulitakiwa kutuachia na uliahidi ungetuachia (Anaongea kwa hasira)

Aliendelea: Walakini, tunateseka kutokana na kushindwa kwako kisiasa, kiusalama na kijeshi, kwa sababu ya kufeli ulikokusababisha mwenyewe Oktoba 7, kwa sababu hapakuwa na askari mahali hapo na hakuna mtu aliyekuja kwetu, na hakuna mtu aliyetutetea, na sisi ni raia tusio na hatia na wajinga ambao tunaolipa ushuru Israel, sasa tuko utumwani pasi na sababu.

Aliendelea: Mnatuua, mnataka kutuua sote?, mnataka jeshi lituue, haitoshi kwamba mlichinja kila mtu, je haitoshi kuwa kuns raia wa Israel waliuawa? Sasa Waachilieni raia na wafungwa wao sasa (anamaanisha Wapalestina) Mutuachilie, achilieni kila mtu. Tunastahili kurudi kwenye familia zetu, sasa sasa, sasa (akipaza sauti kwa nguvu)


English
Prisoners held by the Qassam Brigades send a message to Netanyahu
October 30, 2023
Jerusalem - Ma'an - Israeli female prisoners held by the Qassam Brigades in Gaza have sent a message to Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu and his government.

One of the prisoners said in a recorded statement released by the Qassam Brigades, "Benjamin Netanyahu, hello: We are in Hamas captivity, 23 days... Yesterday there was a press conference for the families of prisoners, and we know there was supposed to be a ceasefire, and you were supposed to release us, you should have released us, you promised to release us.

She continued: However, we suffer from your political, security, and military failure, because of the "failure" you caused on October 7, as there was no soldier present and no one came to us, and no one defended us. We are innocent and naive citizens who pay taxes to the state of Israel. We are now in captivity under "no conditions."

She continued: You are killing us, do you want to kill all of us? You want the army to kill us. Isn't it enough that you slaughtered everyone? Isn't it enough that there are Israeli citizens killed, release us now, release their citizens and prisoners now (referring to Palestinians). Release us, release everyone. We deserve to return to our families, now, now, now (shouting loudly).

Post a Comment

0 Comments