Request to direct financial Donation to our people in the Gaza




Ministry of foreign affairs and expatriates request to direct financial Donation to our people in the Gaza strip to the accounts of the monetary authority and in-kind to the Palestinian Red-Crescent only. Official Donations are received through the numbers specified in this document.

Wizara ya mambo ya nje na masuala ya kigeni inaomba kuelekeza Mchango wa kifedha kwa watu wetu katika ukanda wa Gaza kwa akaunti ya mamlaka ya kifedha na kwa taasisi inayohusika na huduma ya kwanza (msalaba mwekundu) nchini Palestina pekee. Rasmi Michango inapokelewa kupitia namba zilizoainishwa kwenye document hii.





Post a Comment

0 Comments